Quantcast
Channel: TANZANIA CLASSIC
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5823

Huyu Ndiye Mtu Aliyejenga MUHIMBILI HOSPITAL, Anaitwa Sewa Haji Paroo

$
0
0
ILI TUSISAHAU..
Sewa Haji.. (Soor hadji)
Huyu Ndiye Mtu Aliejenga MUHIMBILI HOSPITAL, Anaitwa Sewa Haji Paroo Alifika Zanzibar Akitokea Ktk Miji Ya Bhuj Na Kutch.
Na Mnamo Mwaka 1852 Alifungua Duka La Bidhaa Mbalimbali Huko Zanzibar, Mnamo 1860 Akafungua Duka Lingine Kubwa Bagamoyo Na Kuweka Makazi Yake, Biashara Zake Zikawa Kubwa Na Kuwa Tajiri Mkubwa Sana, Alisaidia Watu Wote Bila Kujali Rangi, Dini Wala Kabila Zao, Alinunua Majengo Mengi Na Kuyafanya Maeneo Ya Watu Wasiojiweza.
Alijengaja Mashule Na Hospitali Kadhaa, Ktk Mji Wa Mzizima { Leo Inaitwa Dar Es Salaam} Alijenga Hospitali Aliita Sewahaji Hospitali Ikitoa Huduma Bure, Mnamo February 1897 Sewa Haji Paroo Alifariki Dunia, Ilikuwa Ni Huzuni Na Simanzi Kwa Wakazi Wa Bagamoyo Na Mzizima Kwa Kuondokewa Na Sewa Haji Aliependwa Sana.
Baada Ya Kufa Kwake Wakoloni Baadaye Wakabadilisha Jina Kutoka Sewahaji Hospital Na Kuiita Princess Magreth Hospital, Na Mnamo 1963 Iliitwa Muhimbili Hospital, Na Mojawapo Za Wodi Inaitwa SEWA HAJI. Lakini pia inaelezwa Sewa Haji ndiye alimuelekeza Henry Stanley Morton... Alipo Dr Livingstone..


Source vyanzo mbalimbali

TANGAZO.
KARIBU  UTANGAZE  BIASHARA  YAKO  KUPITIA  MTANDAO  HUU  UNAOTEMBELEWA  NA WATU  WENGI  HAPA  TANZANIA ,
MAWASILIANO  0755515906

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5823

Trending Articles


Vimeo 10.7.0 by Vimeo.com, Inc.


Pokemon para colorear


Sapos para colorear


tagalog love Quotes – Tiwala Quotes


Long Distance Relationship Tagalog Love Quotes


Ligaw Quotes – Courting Quotes – Sweet Tagalog Quotes


Tagalog Quotes about Love


INUMAN QUOTES


Re:Mutton Pies (lleechef)


Vimeo 10.7.1 by Vimeo.com, Inc.


Gwapo Quotes : Babaero Quotes


Girasoles para colorear


mayabang Quotes, Torpe Quotes, tanga Quotes


Break up Quotes Tagalog Love Quote – Broken Hearted Quotes Tagalog


Two timer Sad tagalog Love quotes


Inggit Quotes and Kabit Quotes – Tagalog Patama Quotes


5 Tagalog Relationship Rules


Best Love Life Quotes Collection


EASY COME, EASY GO


FORECLOSURE OF REAL ESTATE MORTGAGE