Quantcast
Channel: TANZANIA CLASSIC
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5823

Bayern Munich waibuka kidedea Super Cup

$
0
0

Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani imeibuka kidedea katika fainali ya ya Super Cup baada ya kuwafunga wapinzani wao Borussia Dortmund katika mchezo ulopigwa nchini Ujerumani.

Katika fainali hiyo iliyokuwa ya piga nikupige alianza Christian Purisic dakika ya 12 kuifungia BvB kabla ya Roberto Lewandoski kuisawazishia Bayern kisha Emerik Aubamyenag alifunga lingine kwa Bvb na Roman Burki akajifunga.

Baadaye muamuzi wa mpambano huo aliamuru mchezo huo uende katika hatua za penati ambapo golikipa wa Bayern alicheza penati mbili na kuifanya Bayern kuibuka kidedea katika mchezo huo wa Super Cup kwa ushindi wa penati 5 kwa 4.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5823

Trending Articles


Patama Quotes : Tagalog Inspirational Quotes


Girasoles para colorear


Tagalog Quotes About Crush – Tagalog Love Quotes


OFW quotes : Pinoy Tagalog Quotes


5 Tagalog Relationship Rules


FORECLOSURE OF REAL ESTATE MORTGAGE


Imágenes de Robin Hood para colorear


Sapos para colorear


Break up Quotes Tagalog Love Quote – Broken Hearted Quotes Tagalog


Long Distance Relationship Tagalog Love Quotes


INUMAN QUOTES


Re:Mutton Pies (lleechef)