Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania ,kijana kuanzia miaka 18 ana uwezo wa kufanya maamuzi yake pasipo kuvunja sheria, hivyo basi kijana wa mwanasoka maarufu wa Uingereza David Beckham na mwanamitindo Victoria Beckham, Brooklyn Beckham ameanza kuonyesha kukuwa kwa kuchora tattoo katika mwili wake.
![]()
Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 18 amechora tattoo mbili mpaka sasa katika mwili wake moja ikiwa katika bega lake ikiandikwa ‘MUM’ na nyingine ni kushoto ikionyesha mwaka aliyozaliwa baba yake ‘1975’.
![]()
![]()
Paparazi waliweza kuiona tattoo hiyo vyema na kuipiga picha alipokuwa akienda kupata chakula cha mchana maenoe ya Los Angles nchini Marekani.
![No automatic alt text available.]()

Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 18 amechora tattoo mbili mpaka sasa katika mwili wake moja ikiwa katika bega lake ikiandikwa ‘MUM’ na nyingine ni kushoto ikionyesha mwaka aliyozaliwa baba yake ‘1975’.

Paparazi waliweza kuiona tattoo hiyo vyema na kuipiga picha alipokuwa akienda kupata chakula cha mchana maenoe ya Los Angles nchini Marekani.
TANGAZO,TANGAZO MUHIMU
Kama una tatizo la Afya mfano Kisukari,Matatizo ya uzazi,Ngiri, Vidonda vya tumbo, Pumu,Ukosefu wa Nguvu za kiume na magonjwa mengine sugu,,
wasiliana na DKT: MABULA kupitia namba hizi 0767488895 na 0768351097 upate tiba haraka
FIKA KWENYE KITUO CHAO CHA TABIBU MABULA HERBAL CLINIC NJOMBE MJINI MTAA WA MPECHI
KWA WALIOPO NJE NA MKOA WA NJOMBE HUDUMA YA DAWA ITAWAFIKA POPOTE MLIPO