- Kisiwa cha Guam ni kisiwa kukubwa kilichopo katika bahari ya Pacific nchini Marekani
- Licha kumilikiwa na Marekani, kisiwa hicho kipo umbali wa maili 8,000 na inachukua takriban saa 19 kukifikia kisiwa hicho kwa usafiri wa ndege kutoka mji wa New York. Wamarekani wanaweza kuingia katika kisiwa hicho bila kutumia pasipoti.
2. Raia wa eneo hilo ni wa Marekani lakini hawawezi kupiga kura ya kumchagua Rais wa Marekani, piia wana mwakilishi mmoja wa serikali ingawa hana uwezo wowote kuhusu utungaji wa sera.
3. Robo ya kisiwa hicho kinamilikiwa na jeshi la Marekani na kinatumiwa kama kambi ya wanamaji na wanaanga,vile vile silimia 10 ya watu wa Guam ni wanajeshi.
4. Raia wa Guam wanajulikana kama Chamorro, utamaduni wao unafanana na ule wa Uhispania zaidi ya Umarekani kwa sababu Uhispania ilidhibiti kisiwa hicho kwa takriban miaka 300.
5. Watu katika eneo hilo hawatozwi kodi pia maduka huuza bidhaa za mitindo na hufunguliwa kwa muda wa saa 24 kwa siku.
6. Ricardo Blas Jr. ndio mtu maarufu zaidi katika kisiwa cha Guam, mtu huyu hucheza mchezo wa judo katika michezo ya Olimpiki ya 2008 na 2012 na alibeba bendera ya Guam katika mashindano.
Na Laila Sued
TANGAZO, #TANGAZO #TANGAZO
Mjasiriamali na mfanyabiashara jishindie sh 500,000 kwa kushiriki shindano la ADVERTISING BUSINESS COMPETITION KUTOKA MTANDAO HUU

Mtandao wa kijamii wa www.tanzaniaclassic.com {THE GIANT SOCIAL MEDIA IN EAST AFRIKA} unakuletea shindano la ADVERTISING BUSINESS COMPETITION .
ADVERTISING BUSINESS COMPETITION –Ni shindano ambalo linatoa fursa kwa wafanyabiashara au wajasiriamali kutengeneza Tangazo nzuri la biashara zao lenye ubunifu, Matangazo hayo yatawekwa kwenye mtandao wa www.tanzaniaclassic.com ili kusaidia wafanyabiashara na wajasiriamali kutangaza biashara zao kwa gharama nafuu sana, Pia matangazo hayo yatashindanishwa kutafuta tangazo bora lenye ubunifu ambapo mshindi wa kwanza atazawadiwa shilingi 500,000 na nafasi ya kutangaza biashara yake bure kwenye mtandao wa www.tanzaniaclassic.com kwa miezi sita.
Pia mtandao wa www.tanzaniaclassic.com utatoa ofa kwa mshindi ya kumsaidia kubrand biashara yake ili iweze kujulikana Zaidi na kupata soko ndani ya Afrika mashariki.
Mshidi atapata fursa ya kukutanishwa na wajasiriamali na wafanyabiashara waliofanikiwa zaidi ili aweze kupata uzoefu zaidi ...
Mshiriki wa ADVERTISING BUSINESS COMPETITON ambaye ni mfanyabiashara au mjasiramali anatakiwa kutengeneza tangazo lenye mvuto na ubunifu juu ya biashara anayofanya ili ajiweke kwenye nafasi nzuri ya kushinda..
Mshindi wa ADVERTISING BUSINESS COMPETITION Atachaguliwa na majaji wa www.tanzaniaclassic.com baada ya kupitia matangazo yote ambayo yatakuwa yameingia kwenye shindano hili, Vigezo vikuu mpaka mshindi apatikane itakuwa ubunifu wa tangazo husika, Ubunifu wa lugha katika tangazo husika , mwenekano mzuri wa tangazo nk.
Shindano la ADVERTISING BUSINESS COMPETITION ni shindano ambalo linahusisha hasa wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka Tanzania na Kenya ambapo mtandao wa www.Tanzaniaclassic.com una watembeleaji wengi zaidi,Pia wafanyabiashara na wajasiriamali kutoka nchi zingine za ukanda Afrika mashariki ambao watependa kushiriki shindano hili wataruhusiwa kushriki..
MASHARTI NA VIGEZO VYA KUSHIRIKI ADVERTISING BUSINESS COMPETITION
1.Mshiriki anatakiwa awe na umri wa miaka 18 na kuendelea,,
2.Mshiriki wa ADVERTISING BUSINESS COMPETITION anatakiwa analipie tangazo lake kwanza kwa shilingi elfu 50,00 0 ndiyo litapata fursa kurushwa kwenye www.tanzaniaclassic.com pamoja kuingia kwenye shindano la ADVERTISING BUSINESS COMPETITION
2.Mshiriki anatakiwa atoe tangazo la biashara inayofanyika tayari na inaendelea kufanyika wakati
4.Mshiriki wa ADVERTISING S COMPETITION harusiwi kukopi tangazo la mshiriki mwingine ambayo yatakuwa yanarushwa na www.tanzaniaclassic.com wakati shindano likiendelea .
5.Wafanyakazi na ndugu ambao wanaohusiano na mtandao wa www.tanzaniaclassic.com hawataruhusiwa kushiriki shindano hili..
6.Mshiriki anaruhusiwa kuingiza matangazo yasiyozidi 3 kwenye shindano lakini lazima hayo matangazo yawe ni ya biashara tofauti ambazo zinafanyika na zinaendelea wakati huo.
FAIDA ZA KUSHIRIKI ADVERTISING BUSINESS COMPETITION
1.Shindano la ADVERTISING BUSINESS COMPETITION linatoa fursa wafanyabiashara na wajasiriamali kutangaza biashara zao kwa kipindi cha miezi 2 na nusu wakati wa shindano likiendelea.
2.Shindano la ADVERTISING BUSINESS COMPITETION litasaidia sana wafanyabiashara na wajasiriamali biashara zao kujulikana pamoja na biashara zao kupata soko kutokana na mtandao wa www.tanzaniaclassic.com kutembelewa na watu wengi ndani na nje ya Afrika mashariki .
3.Shindano la ADVERTISING BUSINESS COMPETETION litasaidia kutoa hamasa kwa wafanyabiashara na Wajasiriamali kuwa wabunifu na wadadisi katika kuandaa matangazo yanayohusu biashara zao ambayo yatasaidia biashara zao kujulikana na kupata masoko Zaidi .
Shindano hili litaanza tarehe 12-8-2017 Mpaka tarehe 29-10-2017
Jinsi ya kushiriki shinadno la ADVERTISING BUSINESS COMPETITION.
Wasiliana na sisi kupitia simu : +255655515906
Whatsapp: +255755515906
Email :tanzaniaclassic1@gmail.com
Fika ofisini kwetu: Msasani,Macho
Dar-Es-Salaam