$ 0 0 Wananchi nchini Canada wamepigwa na bumbuazi baada ya nyangumi kuibuka ghafla baharini,katika pwani ya St John kwenye kisiwa cha Newfoundland.