Simba Day yatakata, Rayon Sports yapigwa 1-0
Simba imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Rayon Sports katika mechi safi ya kuvutia ilivyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.Mechi hiyo ya kirafiki ilikuwa ni katika tamasha la...
View ArticleOdinga apinga matokeo ya urais yanayotangazwa na tume Kenya,
mgombea urais wa muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance (Nasa) Raila Odinga amepinga matokeo ambayo yanaendelea kutangazwa na tume ya uchaguzi nchini humo, IEBC.Bw Odinga amewaambia...
View ArticleManji Alivyomkataa Wakili wa Chadema Mbele ya Mahakama...Kisa Kizima Hichi Hapa
Diwani wa Mbagala kwa tiketi ya CCM, Yusuf Manji jana alisema mbele ya mahakama kuwa hataki kuwakilishwa na Wakili Peter Kibatala na kutaka abadilishe wakili kwa kile alichosema kuwa ni kutofautiana...
View ArticleMgodi wa Dhahabu Geita GGM Wadaiwa Ushuru Zaidi ya Shilingi Bilioni 20
Halmashauri ya Mji wa Geita inaudai Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) shilingi bilioni 24.6 za Ushuru wa Huduma ambazo mgodi huo ulitakiwa kuzilipa katika miaka tisa kutoka mwaka 2004 hadi 2014.Hata...
View ArticleTrump: Tutaikabili Korea Kaskazini kivita ikiendelea na vitisho
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Korea Kaskazini itakabiliwa kivita iwapo itatoa vitisho kwa Marekani.Matamshi yake yanajiri baada ya ripoti ya gazeti la The Washington Post, kudai maafisa wa...
View ArticleWatu Wawili Wafariki Dunia Katika Maandamano ya kupinga matokeo ya Uchaguzi...
Watu wawili wameuawa wakati wa vurugu akikabiliana na maofisa wa polisi katika ngome ya upinzani ya Mathare, Mji Mkuu wa Nairobi nchini Kenya.Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa...
View ArticleVurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila...
Jeshi la Polisi katika Mji wa Kisumu, nchini Kenya limelazimika kuanza kutumia nguvu kuwatawanya kundi la vijana waliojitokeza mtaani kuanza kuchoma matairi ya magari, wakidai kuibiwa kura kwa mgombea...
View ArticleACT- Wazalendo Wamtolea Tamko Rais Magufuli
Chama cha *ACT Wazalendo* kimeshtushwa na kauli (amri) ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu John Pombe Magufuli aliyoitoa hivi karibuni akiwa Mkoani Tanga ya kutaka Hakimu wa Mahakama ya...
View ArticleWHY Kenyans Will Suffer and Regret After Raila EXIT From Politics???
By Albert AmenyaRaila should not even appeal these results. Let him go and rest. Even in the Bible, people preferred a thief over Jesus!!! Raila has been demonized, the people he has assisted have...
View ArticleMarekani: Korea Kaskazini haitutishi
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani Rex Tillerson amesema kuwa hakuna tishio lolote la hivi karibuni kutoka Korea Kaskazini , licha ya Pyongyang kusema kuwa inapanga kushambulia eneo la Guam...
View ArticleBill Gates atua nchini ‘kimya kimya’ na kutembelea miradi ya afya Tanga
Mfanyabiashara maarufu na tajiri namba moja Duniani, Bill Gates yupo nchini Tanzania kutembelea miradi mbalimbali ya afya ikiwemo mradi wa matumizi ya dawa za matende na mabusha.Bill Gates katikati...
View ArticleProgramu ya WhatsApp kuja na mabadiliko makubwa manne
Katika kuboresha huduma kwa wateja wake, Programu ya WhatsApp ipo mbioni kuongeza sehemu (Features) mpya nne ambazo zitawasaidia watumiaji wake kupata unafuu na urahisi zaidi wakati wa kutumia.Taarifa...
View ArticleAl Gore: Trump atang'atuka madarakani haraka kutokana na kashfa za kimaadili
Makamu wa rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa, kipindi cha urais wa Donald Trump huenda kikamalizika mapema kwa sababu ya kashfa za kimaadili.Al Gore ambaye alikuwa makamu wa rais wa zamani wa...
View ArticleNyangumi ashangaza halaiki kwa kuibuka katika bahari Canada
Wananchi nchini Canada wamepigwa na bumbuazi baada ya nyangumi kuibuka ghafla baharini,katika pwani ya St John kwenye kisiwa cha Newfoundland.
View ArticleHata kabla ya matokeo rasmi, Nkurunziza amemtumia ujumbe huu Kenyatta
Hata kabla ya matokeo rasmi ya uchaguzi nchini Kenya ujumbe wa kumpongeza mshindi wa urais umechapishwa katika akaunti ya Twitter ya Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza.Bw Nkurunziza anaonekana...
View ArticleFreeman Mbowe Ataka Rais Aombewe Kupunguza Ukali wa Maneno
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amewaomba Watanzania wamuombee Rais John Magufuli kwa Mungu ili apunguze ukali wa maneno yake kwani analigawa na kulitia hofu Taifa.Mbowe, ambaye pia ni Mbunge wa...
View ArticleNASA says results show Raila garnered 8.4 million votes and Uhuru 7.75 million
By NANCY AGUTU, @nancyagutuNASA presidential candidate Raila Odinga arrives for a news conference in Nairobi, August 8, 2017. /REUTERSNasa has demanded that IEBC declare Raila Odinga winner of the...
View ArticleKwa Mara ya Kwanza Tazama Hapa Video ya Wimbo Mpya wa ROMA Aliyotoa Leo Toka...
Baada ya kutekwa na kuachiwa na watu wasiojulikana Aprili mwaka huu, mwanamuziki Roma Mkatoliki ameachia video yake mpya unaokwenda kwa jina la Zimbabwe. Tazama video hiyo hapa chini;
View Article