Bawacha Watoa Msaada kwa Watoto Yatima
Baraza la Wanawake Chadema mkoa wa Dar es Salaam (Bawacha), wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto yatima, Yatima Group Trust Fund.Msaada huo wa mifuko 35 ya saruji, sukari...
View ArticleConte awaomba mashabiki wasimtukane akimuuza Eden Hazard kwa Barcelona
Kocha wa Chelsea, Antonio Conte amewaomba mashabiki wa klabu hiyo wasimtukane iwapo ataamuuza Eden Hazard kwa klabu ya Barcelona msimu huu wa usajili wa kiangazi.Kocha huyo alisema kuna uwezekano mdogo...
View ArticleVideo ##: Raila Odinga afanya matembezi katika mtaa wa Karen
Tazama hii video Raila Odinga akuiongea na waandishi wa habari
View ArticleArsenal wawaangamiza Chelsea
Klabu ya Arsenal imefanikiwa kuchukua Kombe la ngao ya jamii 2017 kwa kuitwanga Chelsea goli 4-1 kwa changamoto ya mikwaju ya penati baada ya kutoka 1-1 dakika 90 katika uwanja wa taifa wa Uingereza,...
View ArticleMANJI Mambo Magumu...Kuendelea Kusota Selo..
MANJI Mambo Magumu...Kuendelea Kusota Selo... Mahakama Kuu Tanzania imekubali pingamizi lililowekwa na serikali na hivyo kutupilia mbali maombi ya dhamana ya mfanyabiashara Yusuf Manji.
View ArticleKilichojiri Mahakamani Kesi ya Viongozi wa Simba Leo Agosti 7
Leo August 7, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kwa mara nyingine kesi ya kutakatisha fedha na kughushi inayowakabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange maarufu...
View ArticleKesi ya Mbunge Halima Mdee yapigwa Kalenda
Kesi namba 218 ya 2017 ya kutumia lugha ya matusi, inayomkabili Mbunge wa kawe Halima Mdee imeahirishwa mpaka tarehe 12/09/2017 baada ya Hakimu Victoria Nongwa ambaye kesi hiyo iko chini yake...
View ArticleWatu kutoka Ngome ya RAILA ODINGA walala vituoni ili kuwahi kupiga kura
Hapa ni maeneo ya Nyanza na Western ambapo ni ngome kubwa ya kiongozi wa upinzannia Raila odinga ,Tayari watu wamejitokeza kwa wingi kupiga kura ,Taarifa zinasema wengine...
View ArticleMahakama Yatoa ONYO la Mwisho Kwa Tundu Lissu..
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imempa onyo la mwisho Tundu Lissu kuhakikisha anafika katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mahakamani hapo.Onyo hilo limetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa...
View ArticleAfrika Kusini: Spika aidhinisha kura ya siri kuhusu Jacob Zuma
Wabunge nchini Afrika Kusini watapiga kura ya siri wakati wa kuamua kuhusu hoja ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma siku ya Jumanne, spika wa bunge la nchi hiyo ametangaza.Baleka Mbete ametoa...
View Article#Wapinzani kutoka Tanzania wana mengi ya kijifunza kutoka Raila Odinga Badala...
Na Respicius Francis#Wapinzani kutoka Tanzania wana mambo mengi ya kijifunza kutoka Raila Odinga Badala ya kutazama madhaifu yake,Nasema hivi kwasababu upinzani wa #Tanzania bado una safari ndefu...
View ArticleNchi ya Congo Imefungia Mitandao yote ya Kijamii
Serikali ya DR Congo imetoa amri ya kusitishwa kwa mitandao yote ya kijamii ili kuzuia usambazaji wa picha na video za ghasia zinzoendelea katika kanda hiyo .Aidha hatua hiyo imechukuliwa kufuatia...
View ArticleVideo ## Mfuasi kutoka chama cha jubilee akamatwa na karatasi za kupigia kura
Msaanii maarufu wa vichekesho Dennis Ruto amekamatwa na karatasi za kupigia kura ..Ukumbukwe msaanii huyo ni mfuasi mkubwa wa chama cha jubilee..Popular comedian (Cheget) from comedic...
View Article